Amanda poshy nakupenda we mdada

Tusiomfahamu kwanini msituwekee picha
 
Haya mambo yakupendana bila kujuana....kazi ipo mkishaonana.
 
kwa wasiomjua amanda posh...hata mimi nikimqangaliaaga udenda nusu initoke
 
mkuu hebu nipe iyo tecnic rahiisi uliyoitumia na mimi nikafanye yangu kwa yule binti wa mtaa wasaba
Ni tecnic nyepeesi sana...cha muhimu tu ujue ni vitu gani vyamdatisha mpenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…