Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sheria za fifa zinasemaje kuhusu michezo na siasaAkitoka Yanga wana hela za kuendesha hiyo Timu? Na wanaolalamika ni mafukara Wana mdomo tuu nothing else
Na kwa kweli huyu msomali anahangaika sana; mara Kigamboni, mara Kongwa. Mshenzi sana huyu!Huyu Msomali anautaka ubunge kwa nguvu mno mpaka wamemshtukia, haiwezekani uombe majimbo mawili tofauti ndani ya kipindi kifupi namna hii.