"Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye katikati ya uti wa mgongo marungu yanapigwa, ilikuwa ni kitendo cha unyama uliopitiliza."
Duuuuuuh! Ngoja tuone tarehe ya kesi ijayo kama mission ya kuwafanya makamanda wawe waoga itakuwa imekamilika kwa kuwafanya makamanda wasitokee mahakamani wabaki kuwa keyboard warriors.
Duuuuuuh! Ngoja tuone tarehe ya kesi ijayo kama mission ya kuwafanya makamanda wawe waoga itakuwa imekamilika kwa kuwafanya makamanda wasitokee mahakamani wabaki kuwa keyboard warriors.