Inaonekana Katiba iliyopo inaruhusu Upotevu wa AMANI kuletwa na IMANI zetu!
Katiba iweke wazi mambo yahusuyo dini.
Iongee kinaganaga kuwa Serikali haina dini na wala haifuati dini yoyote na hivyo mambo yahusuyo dini kama hayataingizwa katika mufumo wa serikali.
Pia katiba iweke wazi kuwa dini yoyote AU Dhehebu lolote AU muhubiri/mhadhara yeyote wa dini au dhehebu lolote akiongea au kuhubiri juu ya imani au dhehebu au dini nyingine mtu huyo atakamatwa na kutupwa Jela maisha. Na mtu wa aina hiyo kwa kuwa atakuwa ana hatarisha AMANI ya nchi, basi hakuna kesi na wala mdhamana wa aina yoyote. Hivyo maisha yake yaliyobakia atayamalizia Jela.
Natoa maoni haya kwa kuwa leo hii tunaona watu mbalimbali wakihubiri/wakitoa mihadhara mbalimbali juu ya imani za watu wengine. Na inaonekana hakuna uchukuliwaji wa hatua yoyote na wala hata kukemea tu wakati AMANI yetu inaondolewa na watu hawa!!
ni maoni yangu