W We can JF-Expert Member Joined Sep 4, 2010 Posts 678 Reaction score 47 Nov 7, 2010 #1 Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi
Mimi najiuliza, maana ya amani ni nini? Je, amani bila haki ipo? Je, ukiibiwa kisha ukaambiwa LINDA AMANI inakuwaje hapo? Tazama Start TV sasa hivi