DaudiAiko
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 372
- 310
Wana bodi,
Hivi karibuni mgombea wa urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ali amrishwa na tume ya uchaguzi ku hudhuria mkutano unao jumuisha kamati ya maadili baada ya ku kiuka masharti ya kampeni ambayo yame wekwa na tume kwa wagombea wote.
Unaweza ku hisi kwamba tume ina waonea wagombea fulani kwa njia moja au nyingine lakini masharti haya ni muhimu haswa katika kutuvusha katika kipindi hiki cha uchaguzi salama.
Nina amini kwamba wagombea wote walipewa maelekezo kwa maandishi kwa njia ambayo ni rahisi ku elewa na wali saini makubaliano ili ku hakikisha kwamba wata fata sheria zote. Kilicho tokea nichaku shangaza, kusikitisha na kushtusha kwamba mwanasheria mkongwe ambaye alishawahi kuwa kiongozi wa wanasheria nchini ana tuhuma mpya na ana kataa kuji salimisha kwa ajili ya majadiliano na kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi. Kusema kwamba hakupata barua rasmi kutoka kwa tume ya chaguzi ni "excuse" ambayo ni "superficial" haswa kwa mtu ambaye anafahamu sheria. Maridhiano ni yeye ku kubali kwamba amekosea kwa njia moja au nyingine.
Suala sio kuwa na mawakili wala kuwa mbabe. Kuitwa kwa Tundu Lissu kwenye kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi katika hatua hii ya kampeni ni kitu cha ajabu na kinacho ashiria utovu wa nidhamu ulio pitiliza. Kama ana uhakika kwamba hana hatia au ana mpango wa kuji rekebisha, ni jambo rahisi sana ku hudhuria mkutano huo.
Kama watanzania, tunapenda kuwa na uchaguzi wa amani. Vile vile tunapenda wagombea wote wapewe nafasi sawa. Sio jambo zuri kwa mgombea yeyote ku katwa na tume ya uchaguzi katika hatua hii na sio jambo zuri kwa mgombea yeyote kutumia umaarufu wake vibaya.