Amani ya Mungu iwe nanyi

Amani ya Mungu iwe nanyi

Durable

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
30
Reaction score
3
Hodi hodi wanajamvi, nimekuw mdau wa jf kwa muda mrefu, ila ckuwa member rasmi...sasa nimejiunga rasmi hvy naomb mtambue uwepo wangu..
 
tunakutambua durable tafadhali make here your home!!
 
iwe pia nawe karibu mkuu via jf rules
 
Asanten ndg zng kwa ukarim wenu, najivunia kuw hapa..naamin meng ntajifunza kwa uwezo wa Mungu...najickia niko nyumbani sasa
 
Back
Top Bottom