Amapiano ni mziki wa kitoto

Amapiano ni mziki wa kitoto

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?

Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita 'Lounge' hivi mnajua maana ya 'Lounge' nyie?

Hii sector hapa Tanzania haitendewi haki kabisa, lazima nitengeneze bar yangu nyumbani kwa namna hii.

Yaani saa saba mtu badala ya kupiga ngoma laini na tamu kusindikiza bia ww unapiga uchwara tu.
 
1689895049198.jpg
 
Back
Top Bottom