Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hi guys!

Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...

Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.

Mie "chichemi"
 
..alianguka kwasababu nafasi aliyopewa si ya ulaji?

..ukiangalia vizuri kuna changa la macho limerushwa hapo!
 
Ukiona watu wamehaanza pm it means hutapata habari zote kwa sasa. Mwanakijiji na mi ni PM basi then nita PM mlalahoi
 
Asante Judy, nami nitaomba mlalahoi ani PM nami nita PM Mr Zero na Mzalendo Halisi
 
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu
Huyu jamaanilitokea kumchukia haswa nakumbuka kipindi fulani nilijitwika kwa kigoli mmoja alikuwa mkali kweli kweli.Basi kwa bahati nzuri au mbaya akashinda umiss katika baadhi ya vitongoji.
Hili fisadi likamuona.....Guess what!!....jamaa zangu wakanishtua ikabidi nisitishe ghafla mkataba na kigoli kile...baada ya muda namuona na RAV 4 Nyekundu!

Nilipokuja kujua maana ya gari lile jekundu,nikashukuru Mungu.Alaaniwe alininyang'anya tonge mdomoni
 
Haka kamsemo ka gari jekundu kananipa udadisi sana ni kweli gari jekundu au gari kupitia """wekundu wake"""
 
Na "Nyekundu" maana yake "Hatari"!
Je mpaka sasa ni wangapi wamepewa magari hayo mekundu na huyo jamaa?

mie kwa kuanzia nakushauri kafanye research ya nguvu kule kwa mamiss kule wale maarufu maarufu woote ukishawajua angalia wangapi wana magari mekundu
 
Mtaalamu, kwa sasa itakuwa ngumu kuwajua ma miss ambao jamaa kawahonga magari mekundu kwa sababu nimelemewa na kazi ya maboksi! Kwa hiyo tunatarajia watu kama ninyi ambao mko nao hapo home mtupe nyeti nyingi!
 
ndugu yangu idimi...ujue hata mie huko ufisadini (TZ) siko kwa sasa

halafu jamani huko mnako pm pm each other ni kuhusiana na habari hii ama??kama ni kuhusiana na hii basi namie nasubiri mni pm
 
formerPTI.htm
 
Back
Top Bottom