Hi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...
Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.
Mie "chichemi"
Ukiona watu wamehaanza pm it means hutapata habari zote kwa sasa. Mwanakijiji na mi ni PM basi then nita PM mlalahoi
Na mimi ni PM ili niwa PM wengine........Judy angalia PM yakoAsante Judy, nami nitaomba mlalahoi ani PM nami nita PM Mr Zero na Mzalendo Halisi
Huyu jamaanilitokea kumchukia haswa nakumbuka kipindi fulani nilijitwika kwa kigoli mmoja alikuwa mkali kweli kweli.Basi kwa bahati nzuri au mbaya akashinda umiss katika baadhi ya vitongoji.Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu
Huyu jamaanilitokea kumchukia haswa nakumbuka kipindi fulani nilijitwika kwa kigoli mmoja alikuwa mkali kweli kweli.Basi kwa bahati nzuri au mbaya akashinda umiss katika baadhi ya vitongoji.
Hili fisadi likamuona.....Guess what!!....jamaa zangu wakanishtua ikabidi nisitishe ghafla mkataba na kigoli kile...baada ya muda namuona na RAV 4 Nyekundu!
Nilipokuja kujua maana ya gari lile jekundu,nikashukuru Mungu.Alaaniwe alininyang'anya tonge mdomoni
Mkuu ni gari jekundu(rangi)Haka kamsemo ka gari jekundu kananipa udadisi sana ni kweli gari jekundu au gari kupitia """wekundu wake"""
Mkuu ni gari jekundu(rangi)
Noma mkuu jamaa huyu alaaniwe kabisa.nasikia wengine walibadilisha rangi,kwa hiyo unaweza kucheza cheusi chekundu ukaona umeona chekundu kumbe ni nyeusiNa "Nyekundu" maana yake "Hatari"!
Je mpaka sasa ni wangapi wamepewa magari hayo mekundu na huyo jamaa?
Na "Nyekundu" maana yake "Hatari"!
Je mpaka sasa ni wangapi wamepewa magari hayo mekundu na huyo jamaa?
mie kwa kuanzia nakushauri kafanye research ya nguvu kule kwa mamiss kule wale maarufu maarufu woote ukishawajua angalia wangapi wana magari mekundu
Naomba nami ni wa PM, Idimi check PM na mtu ni PM