Amatus Liyumba: Balaa!

Duh!!!
 
Aisee
 
Mademu kama hao enzi anashika pesa unakuta hakuwa na akili ya kuwekeza, kala starehe zote za mjini, halafu unakuta sasa hivi kafulia balaaa
Alikuwa na gari bito
Model mpya zile ku fanyia service tu mbinde
+ukingia relini yake si mizinga ya kiwese sasa

Ova
 
Hi post imenikumbusha mambo ya ZE UTAMU ikipamba Moto hakuna mtu asie taka kupata story kila siku rav4 nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…