Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Wana Jambo forum nimeibamba picha ya KIJOGOO Liyumba kwenye websiyte ya BOT wakati huo akiwa mkuu wa Chuo cha BOT Mwanza. Mwaweza kuiona katika URL address: http://www.bot-tz.org/TrainingInstitute/formerPTI.htm
Kwa jinsi wadada wa bongo wanavyopenda "mchekea" naona hapo lazima wangefika...ndio hivyo tena.
1. Huyu ndo anazambaza virusi kwa pesa ya BoT?
2. Picha inaonyesha ameanza kuchoka! Je ana familia?
3. Na ninyi kina dada mpunguze tamaa za kupenda vya mteremko.. sii tu kuwa mtapata virusi, pia mtawaabuliza wenzi wenu na hatimaye kuacha watoto ya tima!
4. Kama kuna ushahidi anaambukiza virusi kwa makusudi- TAMMWA kwa nini wasimkalie kooni?
Na inawezekana kawapata wengi kwani masistadu wapenda RAHA na ujiko nafikiri alikuwa anatongoza kirahisi tu--PESA TU. Na Ukimwi kwa mtindo huu hautaisha wala kupungua.
Heshima yako Mkuu!
Kwani TAMWA ni chama cha Wanaume?
Na kama sio Chama cha Wanaume rudi kwenye statement yako namba 3
How about the baby sox, hazisaidii?
Na hao mabinti hawazitumii au?
Mheshimiwa FD,
sijaona PM yoyote pale kwangu kutoka kwako, please PM me kama bado.
Nami nitam-PM Mtaalamu.