Boma sidhani kama kuna wenye JF, ......... Kitendo cha watu kuamua kutumiana PM ya hizo info ni utashi wao aidha kwa kuwa hawapendi kuonekana wao ndiyo vyanzo vya habari hizo ama kwa sababu za kwao binafsi.
Mimi nadhani kama hawakutaka hiyo habari tuijue, wangeacha kabisa kuiweka hapa wakatumiana PM bila kututia muwashawasha. Kwani hapa nani anajulikana kwa jina halisi, KAMA NI UOGA WA KUJULIKANA mbona thread nyingi tena za hatari zinawekwa hapa. HUOGA HUO TAYARI UMETOA MAANA YA JF ya "Where We Dare to Talk Openly"
Ukiona watu wamehaanza pm it means hutapata habari zote kwa sasa. Mwanakijiji na mi ni PM basi then nita PM mlalahoi
Jamani hii si njema kwa nini kupeana habari kwa upendeleo? Kumbukeni kuwa hapa Ndio mahali pekee tunapothubutu kuzungumza openly. Kama ndivyo basi wekeni habari hapa opennly
Sipendi mimi ebo!!!!!!!!!!!!!
Liumba kwa data za uhakika,
Mke wake amefariki mwaka jana kwa miwaya baada ya kuugua muda mrefu sana akiwa kitandani tu mama wa watu.
Binti yake ambaye alikuwa anafanyakazi BOT naye alifariki mwaka jana hakuachana sana na mama yake pia na miwaya.
kikubwa zaidi inasemekana Liumba alikuwa anakula kuku na mayai yake.Mungu amsaidie sana manake ana laana nyingi sana hapa duniani.
astagh fi lulah! huyu mwanaume ana kichaa!!!!
Hana kichaa, ni mfumo wa maisha ya Kitanzania ndiyo wenye kichaa. How come mtu anajulikana kabisa anasambaza virusi kwa makusudi, na bado watu wanamchekea, na mabinti wanamfuata wenyewe kwa hiari yao bila kulazimishwa!
You may be amazed, but the truth is mabinti wa Dar es Salaam kuna mambo ya ajabu sana linapokuja suala la mwanaume mwenye pesa!
Hajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo