Amazing Fact

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Amazing Fact

[emoji117]inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni

[emoji117]Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini

[emoji117]mwanamke ndio kiumbe chenye huruma zaidi na kikatili zaidi hapo hapo

[emoji117]Urefu wa kidole gumba cha mwanaume ni Mara 3 upate urefu wa uume wake.

[emoji117]Mate ya binadamu yanaweza yakawa sumu

[emoji117]Wanawake washamaliza kusoma,

[emoji117]wanaume bado wanaangalia vidole gumba vyao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Roho inaniuma kuniambia kidole gumba changu mara tatu yake napata uume wakati uume wangu mdogo kushinda hiko kidole gumba[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…