TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Amani kwako mdau.
Mara nyingi siri ya uponyaji ipo kwa Mwenyaazi Mungu mja wa rehema na huwapa wachache nuru ya kujua tiba kutokama na mimea.
Nimeona nisifaidike mwenyewe, huu ni mmea ambao unajiotea wenyewe tu hapo mtaani kwako endapo tu kuna sehemu nyasi zinajiotea pasi kupandwa na mtu.
Mmea huu uharibu (microbe caridentaria - sijui kwa kiswahili ni nini) bila kujali kiwango chake hata kama jino limetoboka kwa ukubwa wowote.
Ukiwa umekauka ni vizuri ila kwa sababu ya muda wa kuandaa basi chemsha na uiache ipoe kwa joto la wastani kisha sukutua kinywani mwako mara mbili kwa siku hadi utakaporidhika kuwa umepona.