Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Upo sahihi bwana "MATAWI YA JUU"Kama ni kweli hii ni fursa kubwa sana, tuwekeze kwenye research kidogo tuangalie kama hili ni linawezekana, kuna time nilienda kwa dentist bill ilikuja zaidi ya 8,600$ na ilikuwa simple procedure tuu, tueleze zaidi ni kuondoa pain, linaziba yaliyotoboka, kuyafanya meupe zaidi etc maana matatizo ya meno yapo mengi
Sasa kwann umeze? Na uneambiwa usukutue kwa maji ya uvuguvugu?!Je ukimeza inaweza kuwa sumu?