Amazon inasema thamani ya 1USD=Tsh 2442.13 kwa sasa na bado inapanda

Amazon inasema thamani ya 1USD=Tsh 2442.13 kwa sasa na bado inapanda

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,554
Ndugu zangu hili ni pigo kubwa sana kwa wafanya biashara na watu wanaofanya biashara kubwa za kuagiza mizigo nje ya nchi. Mwezi uliopita tu ilikua kwenye 2200
_20181125_164605.jpeg
 
Chagua kulipa kwa usd Unasave kidogo. Exchange rate ya amazon wameongeza cha juu
 
Hayo ni matakwimu tu hayana impact yoyote.
Kuna kipindi fulani jamaa flani waliweka rate zao kwamba usd imepanda but mtukufu alisema no, na rate zilirudi kuwa kawaida.
 
Wale wa forex.., naomba kuwauliza.

Eti hii ni habari njema kwenu..?
 
Chagua kulipa kwa usd Unasave kidogo
Kuchagua kulipa kwa USD bila ya kuwa na kadi ya USD unakuwa hujafanya kitu.

Ni lazima uwe na kadi iliyo na fedha kwa USD.
 
Kuchagua kulipa kwa USD bila ya kuwa na kadi ya USD unakuwa hujafanya kitu.

Ni lazima uwe na kadi iliyo na fedha kwa USD.
Sijui unatumia Bank gani lakini kwa crdb na experience yangu amazon au PayPal exchange rates zao huwa kubwa kuliko rates za bank. Risk ni bank inakuja kufanya deduction baada ya siku 3 kwa hiyo rate ya siku hiyo inaweza kuwa tofauti na ya siku ulipofanya malipo.
 
Back
Top Bottom