HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
Akaunt zetu ndugu sio za USD ni Tsh kwa iyo kwa vyovyote vile lazma uliwe tuChagua kulipa kwa usd Unasave kidogo. Exchange rate ya amazon wameongeza cha juu
Ni njema endapo mtu alikua na reserve kubwa ya USDWale wa forex.., naomba kuwauliza.
Eti hii ni habari njema kwenu..?
Natamani sana kujiunga, its a real online b'ness yenye ufahamu wa uchumi baadhi ya nchi..,Ni njema endapo mtu alikua na reserve kubwa ya USD
Kuna wadau washaongela sana haya mambo nyuzi zake zipo, mm sifanyi forex mkuuNatamani sana kujiunga, its a real online b'ness yenye ufahamu wa uchumi baadhi ya nchi..,
Zilishafutwaaa..., unafanya mchezo na mods wewe..,[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wadau washaongela sana haya mambo nyuzi zake zipo, mm sifanyi forex mkuu
Ila iyo inahitaji uwe na mentor alieshiba kweli, kama uko dar itakua rahisi kuwapataZilishafutwaaa..., unafanya mchezo na mods wewe..,[emoji23][emoji23][emoji23]
Hvi mheshimiwa hua anapata mda wa kujitafakari kweli??
Unachagua usd conversion itafanywa na bank yako Kwa rates za hapa. Huhitaji account ya dolaAkaunt zetu ndugu sio za USD ni Tsh kwa iyo kwa vyovyote vile lazma uliwe tu
Kwani kwa ss hvi kwa mujibu wa bank sa hapa exchange rate ikoje??Unachagua usd conversion itafanywa na bank yako Kwa rates za hapa. Huhitaji account ya dola
LMGTFYKwani kwa ss hvi kwa mujibu wa bank sa hapa exchange rate ikoje??
Kuchagua kulipa kwa USD bila ya kuwa na kadi ya USD unakuwa hujafanya kitu.Chagua kulipa kwa usd Unasave kidogo
Sijui unatumia Bank gani lakini kwa crdb na experience yangu amazon au PayPal exchange rates zao huwa kubwa kuliko rates za bank. Risk ni bank inakuja kufanya deduction baada ya siku 3 kwa hiyo rate ya siku hiyo inaweza kuwa tofauti na ya siku ulipofanya malipo.Kuchagua kulipa kwa USD bila ya kuwa na kadi ya USD unakuwa hujafanya kitu.
Ni lazima uwe na kadi iliyo na fedha kwa USD.