Amazon na ebay

Amazon na ebay

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
kwa mtu mwenye ufahamu atueleze jinsi unavyoweza kununua vifaa kupitia hiyo minada kwa mtu anayeishi bongo na ana hela ya madafu na pia Paypal inatumika vipi kwa hapa bongo,muelewa atuelezee,shukrani
 
Back
Top Bottom