mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Dec 12, 2009 #1 kwa mtu mwenye ufahamu atueleze jinsi unavyoweza kununua vifaa kupitia hiyo minada kwa mtu anayeishi bongo na ana hela ya madafu na pia Paypal inatumika vipi kwa hapa bongo,muelewa atuelezee,shukrani
kwa mtu mwenye ufahamu atueleze jinsi unavyoweza kununua vifaa kupitia hiyo minada kwa mtu anayeishi bongo na ana hela ya madafu na pia Paypal inatumika vipi kwa hapa bongo,muelewa atuelezee,shukrani