Amazon yapata CEO mpya baada ya Jeff Bezos kuachia nafasi rasmi

Amazon yapata CEO mpya baada ya Jeff Bezos kuachia nafasi rasmi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Jeff Bezos (57) ameachia rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni maarufu ya Amazon iliyomfanya kuwa Bilionea, na nafasi hiyo itachukuliwa na Andy Jassy.

Bezos ataendelea kuwepo katika Kampuni hiyo Mwenyekiti Mtendaji na ataelekeza muda wake mwingi zaidi kwenye Kampuni yake ya masuala ya anga na harakati za mabadiliko ya Hali ya Hewa.
==

Jeff Bezos has officially ended his run as chief executive at Amazon, the online retailing behemoth that made him the world’s richest man, stepping aside to spend more time on his spaceship company and climate-change activism.

The leadership transition went into effect on Monday having been finalized in May, with Andy Jassy, formerly head of Amazon’s cloud-computing business, taking over as CEO. Bezos, 57, will remain involved in the company as executive chairman, focusing on new products and “early initiatives,” he told employees earlier this year.

Bezos, who ranks as the world’s richest person, with a fortune estimated by Forbes at nearly $202 billion, founded Amazon in 1994. Jassy joined the company in 1997, after graduating from Harvard, getting in near the ground floor of a business that blossomed into a retailing giant with $386 billion in annual revenue.

The Amazon founder’s reduced role will give him more time for such ventures as Blue Origin, the rocket-ship firm that will take Bezos and other passengers into space on July 20, and the Washington Post, which he bought in 2013. His foundations include the Bezos Earth Fund, which invests in initiatives to fight climate change, and the Day One Fund, which helps homeless and low-income families.

But the billionaire’s own carbon footprint will be growing considerably, after he reportedly bought a $165 million Beverly Hills mansion last year and ordered a 127-meter (416ft) yacht. The $500 million vessel is so big that it will require a motorized support yacht with a helipad, at least partly because its three giant masts preclude landing a helicopter on its deck.
 
Jassy joined the company in 1997, after graduating from Harvard, getting in near the ground floor of a business that blossomed into a retailing giant with $386 billion in annual revenue.
Waione vijana wote wenye haraka na maisha, human resource normads ambao kila wakati wanatafuta green pastures.

Wengi wangetamani kushika nafasi hii, ila wengi kati ya hao wasingekuwa tayari kukaa kwenye kikampuni kisichoeleweka chenye miaka mitatu kinachotegemea teknolojia mpya ambayo hakuna anayejua kama mbeleni haitakufa!

Kuna cha kujifunza hapa!
 
Waione vijana wote wenye haraka na maisha, human resource normads ambao kila wakati wanatafuta green pastures.

Wengi wangetamani kushika nafasi hii, ila wengi kati ya hao wasingekuwa tayari kukaa kwenye kikampuni kisichoeleweka chenye miaka mitatu kinachotegemea teknolojia mpya ambayo hakuna anayejua kama mbeleni haitakufa!

Kuna cha kujifunza hapa!
... yap; wale ambao wako final year na wanatamani Nov. wa-attend graduation ceremony zao wakitokea TRA ndani ya Prado new model!
 
Back
Top Bottom