Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania ๐น๐ฟ Nchini Malawi ๐ฒ๐ผ na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023.
Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador Humphrey Polepole, High Commissioner of the United Republic of Tanzania ๐น๐ฟto Malawi ๐ฒ๐ผ
Mapochopocho ya ki ubalozi, dhifa, cocktail parties, kushinda muda mrefu ndani ya ofisi na mialiko sherehe baada ya sherehe pia stress za kuwa mbali na makao makuu ya chama chake akipendacho vinaweza kuwa vimechangia hali unayoiona