Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Kwa ambao hamjawahi kwenda Ulaya Au hata SA mjiandae na socket hizi za matobo ya duara unlike zile four angle zetu tuzozizoea; na siyo Ulaya tu Yaani nchi zote zilizokuwa colonized na Europeans wengine ambao sio Uingereza ni duara tu iwe Rwanda, Mozambique au nini sijui Yaani UK ndo wametupa hizo kama driving on the left tu. So mjiandae mtafute charger kabisa za namna hiyo kama hizi.