Ambao hamjafika Ulaya au hata SA!

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009

Kwa ambao hamjawahi kwenda Ulaya Au hata SA mjiandae na socket hizi za matobo ya duara unlike zile four angle zetu tuzozizoea; na siyo Ulaya tu Yaani nchi zote zilizokuwa colonized na Europeans wengine ambao sio Uingereza ni duara tu iwe Rwanda, Mozambique au nini sijui Yaani UK ndo wametupa hizo kama driving on the left tu. So mjiandae mtafute charger kabisa za namna hiyo kama hizi.

 

Attachments

  • IMG_2202.jpeg
    421.8 KB · Views: 3
Labda coz cjawahi kuziona lakini nchi izo ni universal izo tu Hamna option
Hizi kitambo sana zipo nchini Mkuu wakati ambao waenda Ulaya walikuwa wachache na SA walikuwa wanakwenda wazamiaji. Nyumba nyingi za kitambo zina hozo socket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…