Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Hahaha
Mkuu. Yaani usipofanya kwa muda mrefu chini panachemka na kuwasha kitandani kujigeuza hakuishi. Hapo lazima utafute ke na walivyowarahis siku hizi ni kuvuta tu na kumchapa nayo
,mkuu huko n kujiendekeza tu
 
Kwa msaada wa Mungu na kumuhusisha katika kila jambo yote yanawezekana kuacha ,kuwa waaminifu na kuwa na kiasi
 
Yaani ndo nimetoka kubandua muda huu kwa mara ya kwanza 2017 afu ndo naiona hii thread duu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Napenda Ku abstain Ila shida ni Testosterone wakuu daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…