ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa kuzidi kutiana moyo na kupeana hongera kwa kujitunza huko kwani tumeepuka mengi sana.tumethubutu kujiweka mbali na lile shimo linalopoteza na tumeweza japo majaribu ni mengi lakini hayatufanya kutamani kulionja lile tunda.big up kwa wana jf wote ambao hatujawahi kusex