Ambao hatujawahi ku sex tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa kuzidi kutiana moyo na kupeana hongera kwa kujitunza huko kwani tumeepuka mengi sana.tumethubutu kujiweka mbali na lile shimo linalopoteza na tumeweza japo majaribu ni mengi lakini hayatufanya kutamani kulionja lile tunda.big up kwa wana jf wote ambao hatujawahi kusex
 
Acheni nyeto
 
unaona! wewe bado boya wenzao woote tunajua radha! Fumbuka hakuna ilipoandiwa kuwa kutozini ndiko kutakupeleka peponi. Mungu ametoa amri kumi unadhani 9 zilizobaki hazifai? Changamka mtoto wa kiume!
 
hata waliowahi kuota wakamalizia shukani naohawahusiki maana tayari wanajua radha sasa sijui wanabaki wangapi labda under 4yrs
 
we si ulisima umempa mtu mimba juzi juzi hapa, ukawa unaomba ushauriwe jinsi ya kuikataa.

Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba - JamiiForums
Nawapenda sana nyie mnaotunza kumbukumbu! Njia ya mwongo ni fupi sana. Hawa ndio unawakuta vijiweni anakuambia katembea na fulani, kapita kwa fulani kumbe anakula kwa macho tu! Kazi kupiga nyeto. Ampe mimba ana uwezo huo? Nyooo! madomo zege hata kutongoza atakuwa hajui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…