Ambao hatujawahi kulamba watoto wakali tukutane hapa

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Dah nasikitika sana wakuu kuwatarifu kuwa toka nizaliwe sijawahi kabisa kulamba mchuchu mkali mweupe mwenye shepu tata na anayejua kulembua kama beyonce

Dah yaan kila nikiona demu mkali naogopa kumfuta najua tu atanitosa daah yaan nataman sana kulamba watoto wakali lakin daah


Kipindi cha nyuma niliwahi mpenda mchuchu mkali sikumwambia kama nampenda lakin akaishia kunichuna tu mapene yangu dar naumia sana wakuu


Hakuna hata demu mkali humu ndani anionee huruma anipe, najua akinipa anaweza pata hata thawabu kwa mola wake


Dah sijawahi kabisa kulamba mchuchu mkali wana jf wenzagu
 
Tafuta pesa...
Mjini kuna watoto wanajiuza wanafanana na beyonce ni wewe na pesa yako..

Ukinunu papuchi ya laki unakuta ni kitu quality kabisa..
Kwahio mkuu saka pesa tu michuchu yoote itakuwa yako... utakua unachagua shape tu mwenyewe.
 
Nilivyokuelewa hujawahi kufika Wala kukaa japo mwezi kwenye hii mikoa Arusha,dodoma,Moshi na dar.

Maana kwenye hiyo mikoa Hata ukisema ubet tu utongoze wanawake kumi wazuri,huwezi kukosa Mmoja...

Kwani unakaa mkoa gani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
weupe ni kigezo cha ukali kwako?
 
lamba ice cream hata za ukwaju ziko nyingi.
 
Mkuu katika maisha ukitaka kufanikisha mambo yako wewe jiamini na usiwe muoga,mimi sio handsom wala sina uwezo mkubwa wa kiuchumi ila ikitokea nimemwelewa mtoto mkali huwa sivungi ndajisogeza ndajipigisha naye story mbili tatu ukaribu na mazoea yanakuwa yameanzia hapo hadi natafuna kibaharia.

Jiamini mzee baba.
 
Amber rutty ni mweupe.

Zichange karata zako utapandisha cv
 
Mkuu tafuta FWEDHA.... FWEDHA...... FWEDHA....Sio pesa wala hela....FWEDHA mkuu wangu....FWEDHA....ukiwa na FWEDHA kila kitu kinawezekana....hata hao beyonce type ukiwa na FWEDHA utawapanga foleni........FWEDHA boss......FWEDHA..
wadhifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…