Ambao si mashabiki wa soka tujuane hapa

Sijui hua inakuaje sipo kabisa kwenye michezo atleast napenda sana mbio za magari tu na ishu ya tecnology tu
 
Sijawahi kuwa shabiki wa mpira na kama ningekuwa shabiki basi Liverpool ndiyo ingekuwa timu yangu .


Ikitokea nipo eneo mpira unaonyeshwa basi nitakuwa upande wa timu inayoshinda.
 
99%ya wanaume wanaoshabikia mipira huwa ni Wavivu ...wapiga domo sana...watu wa nishe mishe tu ...hawapendi kufanya kzi kwa bidii..mwanaume makini kbs hana huo muda kupiga mikelel masaa ma2 mara anyanyuke..mara aruke yaan vurugu tupu ukiwaangalia utadhan wanatolewa mashetani vile..!
 
Ahahaha mkuu umenivunja mbavu

UnΓ tupatia sifa mbaya
 
Mpira wa mbele sijawahi kuuelewa labda wa hapa ndani na kombe la dunia
 
Ahahaha mkuu umenivunja mbavu

UnΓ tupatia sifa mbaya

Nimeiandika kwa hisia sana...!jana kuna kazi nimempa kazi fulan ya muhimu sana...nikakubaliana naye usk anikabidhi..akaniambia saa12 naacha naenda chek mpira...nikamwangalia nikakaa kimya...asbh ananiomba hela ya chai..mbafu sana...kwann asingemaliza ile kazi...ndo hao naongelea..mnajitoaga ufaham sana..unaacha kazi unaenda kushabikia majitu baki😏😏..
 
Pole mkuu ungejua jinsi mpira ulivyo mtamu usingeteseka na vitu vingine

 
Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani[emoji125]

Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
when an idiot acknowledge the ignorance of an another idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…