Ambao si mashabiki wa soka tujuane hapa

Unajua mpira wa miguu una mashabiki bilion ngap duniani? Kama hao wote ni wavivu basi dunia yote isingesonga
 
Hahaha
Ni upumbavu mkubwa yani unamshobokea mwanaume mwenzako akiwa uwanjani kutafuta ridhiki yake..
Wengine huwa wanakaa na wake zao eti wanaangalia wanaume wenzano wakiwa uwanjani[emoji125]

Mimi huwa naangalia netball angalau kuna wanawake wanacheza
 
Mimi ni shabiki wa mpira - lakini Siupendi kabisaa mpira wa tanzania kuanzia vilabu vyake mpaka team ya taifa. .

Kwa sababu huwa Nina waona kuwa mpira wa tanzania unaongozwa na vyama vyenye wadau ambao hawana vision za kuliletea taifa maendeleo katika tasnia ya mchezo wa mpira wa miguu
 
Wasioshabikia mpira wengi wao huwa ni mashoga
Hivi unajua kama pale Arsenal kuna sehemu maalumu kwaajili ya mashoga? Hoja yako bado ni mufilisi...

Kiufupi mpira siupendi wala siuelewi, sijui kama taifa star walicheza na team gani na wala sijui wanachezea nchi gani, bora niangalie recorded za hotuba za Magufuli akiwa waziri wa miundo mbinu kuliko kuangalia mpira...
 
Astone Villa
Real Zaragoza
Liverpool
Hapo huniambii kitu
 
Mwanaume huna hobby na mchezo wowote ule hata mbio za magari utakuwa na shida sehemu katika makuzi yako. Sio lazima wote tushabikie mpira wa miguu.
 
Mpira wa miguu hapana aisee,mi napenda mieleka na mbio za pikipiki
 
Kitu mieleka,boxing ,langalanga,movies,Mimi mpira napenda zaidi nikiwa naucheza mwenyewe sio kushabikia
 
Write your reply...bora kulala kuliko kuangalia mpira
 
Mechi zenyewe huwa ni weekend ambazo ni siku za mapumziko, hiyo generalization yako ni ya uongo.
 
team ya RC team ya taifa ya Dareslamm
 
GAYGROONOOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…