RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Serikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara.
Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa. Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao hawakubadilishwa mwezi huu kwamba labda tusubiri mwezi ujao? Au ndo imetoka?
Tupeane updates.
Nawasilisha.