RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Wala usihofu subiri june mzigo utasoma freshSerikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara.
Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa.
Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao hawakubadilishwa mwezi huu kwamba labda tusubiri mwezi ujao? Au ndo imetoka?
Tupeane updates.
Nawasilisha.
Wewe utakuwa Mwalimu.Serikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara.
Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa.
Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao hawakubadilishwa mwezi huu kwamba labda tusubiri mwezi ujao? Au ndo imetoka?
Tupeane updates.
Nawasilisha.
Tumia lugha ya staha mkuu, naye ni binadamu anahisia pia anadai haki yakeWewe utakuwa Mwalimu.
Walimu nchi hii mmekuwa takataka kabisa, kila kukicha mnajidhalilisha sana mitandaoni.
Mnadhalilisha sana Watumishi
Haki yake anadai JF??Tumia lugha ya staha mkuu, naye ni binadamu anahisia pia anadai haki yake
Hongera sana mwekezaji, au usikute ni muhudumu hapo sheraton ulitaka zibaki upeleke nyumbani ndio maana ukajawa na jazba, siku nyingine uwe unajiwekea zako kulekule jikoniMkutane hapa? Kufanya nini? Watumishi wa serikali sijui mna matatizo gani, kuna work shop moja iliandaliwa na wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji na masoko dhidi ya makampuni binafsi ilifanyika pale Sheraton. Wafanya kazi wenzenu wa wizara wakawa wanachukua maji karanga, korosho, maandazi na vitafunwa vingine wanaficha kwenye mikoba. Almanusra nimzabue kibao mmoja
Njaa kali sana nyinyi watuHongera sana mwekezaji, au usikute ni muhudumu hapo sheraton ulitaka zibaki upeleke nyumbani ndio maana ukajawa na jazba, siku nyingine uwe unajiwekea zako kulekule jikoni
Mzee nenda taratibu,usiwaite walimu wetu wapendwa takataka kwasababu wametutoa mbali sana,hata huo ujanja wa kuandika humu ni kwasababu ya juhudi za walimu waliokufundisha ktk kukutoa ujinga.Halafu sioni kosa la mleta uzi maana yeye amekuja kuuliza ili ajue hali ipoje kwa wengine.Wewe utakuwa Mwalimu.
Walimu nchi hii mmekuwa takataka kabisa, kila kukicha mnajidhalilisha sana mitandaoni.
Mnadhalilisha sana Watumishi
Next time tutakubakishia kidogo upelekee watoto, kwani hio workshop iliandaliwa na kufadhiliwa na watu gani?Njaa kali sana nyinyi watu
Walimu waliotufundisha sisi hawawezi Genge la walimu wapumbavu wa mwendokasi Kama Hawa wa sasa hivi.Mzee nenda taratibu,usiwaite walimu wetu wapendwa takataka kwasababu wametutoa mbali sana,hata huo ujanja wa kuandika humu ni kwasababu ya juhudi za walimu waliokufundisha ktk kukutoa ujinga.Halafu sioni kosa la mleta uzi maana yeye amekuja kuuliza ili ajue hali ipoje kwa wengine.
ilikuuma eeh? sasa ulitaka uondoke navyo we peke yako.ndio mkijaga kufabya catering kweny semina mnakua mnagomea kuwaongezea wajumbr wa warsha mnasema.kimeisha kumbe mnataka kurudi na bajia na mandaz nyumbamMkutane hapa? Kufanya nini? Watumishi wa serikali sijui mna matatizo gani, kuna work shop moja iliandaliwa na wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji na masoko dhidi ya makampuni binafsi ilifanyika pale Sheraton. Wafanya kazi wenzenu wa wizara wakawa wanachukua maji karanga, korosho, maandazi na vitafunwa vingine wanaficha kwenye mikoba. Almanusra nimzabue kibao mmoja
Hata vichwani ni weupe sana nyinyi, mtu anaulizwa swali la msingi anajibu takataka. Sishangai maana hata mnavyo ajiriwa ni ile wanaita zoa zoailikuuma eeh? sasa ulitaka uondoke navyo we peke yako.ndio mkijaga kufabya catering kweny semina mnakua mnagomea kuwaongezea wajumbr wa warsha mnasema.kimeisha kumbe mnataka kurudi na bajia na mandaz nyumbam
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Una taarifa yoyote ya wengine kati ya wale 92000+ kupandishwa madaraja?Serikali iliahidi kupandisha madaraja watumishi ambao walipanda madaraja kuishia 2017 kurudi nyuma, na kwamba katika mshahara wa mwezi Mei 2022 wote wliostahili wangebadilishiwa mshahara.
Mimi ni miongoni mwa ambao hawakubadilishiwa. Tatizo ni nini? Kuna kauli ya serikali juu ya ambao hawakubadilishwa mwezi huu kwamba labda tusubiri mwezi ujao? Au ndo imetoka?
Tupeane updates.
Nawasilisha.
Katika wilaya yangu nimearifiwa na ofisi ya mwajiri kuwa zoezi hili ni la miezi miwili, takribani waliopandishwa Mei ni nusu na waliobaki watapandishwa Juni.Una taarifa yoyote ya wengine kati ya wale 92000+ kupandishwa madaraja?
Wewe utakuwa Mwalimu.
Walimu nchi hii mmekuwa takataka kabisa, kila kukicha mnajidhalilisha sana mitandaoni.
Mnadhalilisha sana Watumishi
Sikonge?Mkutane hapa? Kufanya nini? Watumishi wa serikali sijui mna matatizo gani, kuna work shop moja iliandaliwa na wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji na masoko dhidi ya makampuni binafsi ilifanyika pale Sheraton. Wafanya kazi wenzenu wa wizara wakawa wanachukua maji karanga, korosho, maandazi na vitafunwa vingine wanaficha kwenye mikoba. Almanusra nimzabue kibao mmoja
Afya check