Ambao tushawahi kamatwa na polisi tukiwa Gulioni tukutane hapa

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu Habari!.

Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2016 Niko Dodoma! Nilipendelea sana kununua madada poa mitaa ya uhindini hapo.

Basi bwana Nikiwa Mimi na jamaa angu tukiwa tunachagua bidhaa ya kuondoka nayo, Mara paap Polisi hao hapo! Tulikimbia wee lakini tuliishia kukamatwa.

Tukatiwa kwenye Tenga tukiwa na wauzaji pia waliokamatwa! Mwishoni tuliweza kutoa Hela tukaachiwa.
Waalio kuwa hawana Hela walijikuta kwenye gazeti kesho yake Nakumbuka na kichwa Cha habari kilikuwa kimeandikwa! "MAKAHABA NA WATEJA WAO WAKAMATWA".

Tangia siku hio sikurudia huo mchezo.

Wahanga wenzanguambao mshakutwa na hii dhahama karibuni tujadili.

Nawasilisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom