Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Naona wahujumu wa watani (Wamatopeni) wanaendelea kuwahujumu hadi mechi za kirafiki.
Leo tena kile kikosi wanachoamini ni kipana yaani hata waliokuwa Sub ukiwaweka uwanjani wanaaminiwa hawawezi kufungwa hata siku moja kwa maelezo ya viongozi wao.
Wanaamini hata wakitoa sare basi kuna mtu anahujumu kutoka nje.
Basi tunamfikishia habari tunaendelea kukutafuta kama unahujumu hadi mechi za kirafiki sasa umevuka mipaka.
Leo 16/11/2020 :
Simba Sc (Wamatopeni) 0 - 0 African sports.