Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Dah na wale madogo wamekosa nafasi 4 za wazi yani mtu na kipa
Simba msikubali,nendeni Polisi mumehujumiwa leo tena
Yaani senzo na Gsm wamehujumu viwango vya wachezaji wetu.. hadi chama wamemficha watoto wale dah..Kuna watu amewapa mlungula boss.
Kuna harufu ya hamsa toka kwa Wanaijeria
Duuuh tutaona na kusikia mengi klabu bingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]