Ambao wanauzoefu na ku appel wanipe ishu nzima

nashukuruni ndugu zangu kwa kunitia moyo kwa hilo na hata kwa walionicrush pia thanks sana tu mbarikiwe ngoja nijaribu na nikifanikiwa sawa nisipofanikiwa pia sawa cha muhimu kujaribu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…