Zanzibar 2020 Ambari Khamis achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais Zanzibar kupitia NCCR Mageuzi

Zanzibar 2020 Ambari Khamis achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais Zanzibar kupitia NCCR Mageuzi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ambari Haji khamis ni wa 1 kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama Cha NCCR Mageuzi kugombea nafasi ya urais Zanzibar.

Ambari Haji Khamis ni Makamo Mwenyekiti Tanzania Zanzibar Chama Cha NCCR Mageuzi amesema endapo chama kitampa ridhaa ya kuwa mgombea na hatimae kushinda urais Zanzibar atahakikisha anarudisha mchakato wa Katiba mpya bungeni kwa kushirikiana na rais wa Jamhuri. Amesema pia wazanzibari lazima wawe na Uhuru wa kujieleza na kupata habari kwa wakati.

Ameongeza kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atahakikisha changamoto za muungano zinakwisha kabisa

1593001520061.png
 
Back
Top Bottom