Zanzibar mchele wa bara hauna issue.Peleka mchele,,huku micheweni utauza sana...
Kuna mtu naona kumdanganya hapo juuWe peleka mchele wako wa BAHI au Wa KAHAMA uone kama hujaumwaga baharini.
Kule ni wazee wa Bismat rice.
Kule vitu vya electronics tungekusaidia masuala ya vyakula ni ngumu kidogoNiko katika mchakato wa kuangalia fursa za kibiashara maeneo tofauti tofauti ila nimefikia muda wa tathmini ya biashara Zenji.
Nina hamu ya kujua biashara ambazo zinashamiri za kutoka Dar kwenda Zanzibar hasa za vyakula. Naomba ushirikiano wenu ili niweze kupata tathmini halisi ya mambo ya changamoto, gharama na kodi ikibidi kwa wazoefu.
Biashara nayolenga mojawapo ni ya kusafirisha mayai ya jumla. Kutoka Dar to Zenji. Karibuni.
We peleka mchele wako wa BAHI au Wa KAHAMA uone kama hujaumwaga baharini.
Kule ni wazee wa Bismat rice.
Niko katika mchakato wa kuangalia fursa za kibiashara maeneo tofauti tofauti ila nimefikia muda wa tathmini ya biashara Zenji.
Nina hamu ya kujua biashara ambazo zinashamiri za kutoka Dar kwenda Zanzibar hasa za vyakula. Naomba ushirikiano wenu ili niweze kupata tathmini halisi ya mambo ya changamoto, gharama na kodi ikibidi kwa wazoefu.
Biashara nayolenga mojawapo ni ya kusafirisha mayai ya jumla. Kutoka Dar to Zenji. Karibuni.
Zanzibar mayai yapo mengi sana hayana hata sokoNataka nifanye biashara ya mayai mkula! Sema naona kwa Dar soko lipo saturated sana. Mayai ya jumla yale. Nikawaza what if naweza kuyavusha maji incase Zanzibar bado soko sio tight
Usiingie kichwa kichwa, ficha mtaji wako then nenda Zanzibar kazunguke madukani waambie wewe ni mfanyabiashara wa mayai umefulia unataka kufunga biashara unayauza kama anahitaji umuuzie.Nataka nifanye biashara ya mayai mkula! Sema naona kwa Dar soko lipo saturated sana. Mayai ya jumla yale. Nikawaza what if naweza kuyavusha maji incase Zanzibar bado soko sio tight
Funguka hapa hapa PM ya nini ndugumkuu, mimi sina uzoefu na biashara za zenji ila kama uko serious karibu pm nikwambie nini unaweza kufanya haswa kuanzia mwezi wa sita, utakuja kushuhudia hapa..
Eeh uchoyo wa mafanikio ndio asili yetu. Humu raia wanasema mayai zanzibar mengi ila kuna mwana anayavusha toka bara huku. Ndio business yake.Wabongo hatupendani, channel ya hela mtu anataka aifaidi mwenyewe , yuko radhi akunyime au akudanganye kua hafaidi chochote
Mkuu Zanzibar nauli Tsh 60,000 kata maji ukajionee mwenyewe.Eeh uchoyo wa mafanikio ndio asili yetu. Humu raia wanasema mayai zanzibar mengi ila kuna mwana anayavusha toka bara huku. Ndio business yake.
Basmati rice..Zanzibar mchele wa bara hauna issue.
Kuna mchele kutoka Asia Bei chee
Mayai ya mkula ndio yepi tena mkuu?!Nataka nifanye biashara ya mayai mkula! Sema naona kwa Dar soko lipo saturated sana. Mayai ya jumla yale. Nikawaza what if naweza kuyavusha maji incase Zanzibar bado soko sio tight