Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mnapoizungumzia Zanzibar ya sasa mkumbuke pia kuwa kuna mchanganyiko mkubwa sana wa raia wake kwa miaka ya sasa.We peleka mchele wako wa BAHI au Wa KAHAMA uone kama hujaumwaga baharini.
Kule ni wazee wa Bismat rice.
Zanzibar pia mayai ni mengi. Watu wengi wanafuga.Nataka nifanye biashara ya mayai mkula! Sema naona kwa Dar soko lipo saturated sana. Mayai ya jumla yale. Nikawaza what if naweza kuyavusha maji incase Zanzibar bado soko sio tight
Naomba kujua kuhusu electronics mkuukule vitu vya electronics tungekusaidia masuala ya vyakula ni ngumu kidogo
Sawa wanakwenda lakini, mchele wa bara kwa zanzibar, mzunguko wake ni mdogo sana kutokana na bei yake kuwa juu, kulinganisha na hayo ma michele ya pakistani/brazili, ambayo wapemba wengi ndio wanatumia, ile super ya mbeya ikifika zanzibar si itakuwa zaidi ya 3000/- ni wangapi wenye uwezo huo??kuna kipindi nilikuja znb, nikashindwa kabisa kula wali, kila sehemu ni ule nadhani walikuwa wanauita pembe kutoka brazil!!wazenji kibao wanakuja moro kucheki mchele, wengine wanaenda hadi mbeya kuchukua mchele super, acha kudanganywa watu
Niko katika mchakato wa kuangalia fursa za kibiashara maeneo tofauti tofauti ila nimefikia muda wa tathmini ya biashara Zenji.
Nina hamu ya kujua biashara ambazo zinashamiri za kutoka Dar kwenda Zanzibar hasa za vyakula. Naomba ushirikiano wenu ili niweze kupata tathmini halisi ya mambo ya changamoto, gharama na kodi ikibidi kwa wazoefu.
Biashara nayolenga mojawapo ni ya kusafirisha mayai ya jumla. Kutoka Dar to Zenji. Karibuni.
vipi kuhusu usafirishajiHlw mimi ni mzanzibar kabisa may b i can tell you kwa mayai siyo sana ila biashara ya nyama kma unaweza kupeleka ng’ombe inshort nyama bei kubwa kilo tunanunua 9,500 mpka 10000
Biashara nyengine ni nafaka tukisemea mchele mchele unauza sawq lakini waznz tulio wengi tunakula michele ya asia jasmin basmat mapembe na myengine bt you can try pia
Ila mboga mboga imean tungule,viazi utauza pia sana sabab vipo bei za juu
naomba kujua kuhusu electronics mkuu
vipi kuhusu usafirishaji
vipi kuhusu usafirishaji
Mnapoizungumzia Zanzibar ya sasa mkumbuke pia kuwa kuna mchanganyiko mkubwa sana wa raia wake kwa miaka ya sasa.
Hivyo basi mchele kama wa Mbeya unauzika sana tena sana. Maharage. Sembe/dona. Na baadhi ya nafaka ambazo tumezoea zinapatikana huko bara.
Raia wa bara ni wengi huku kuliko mnavyodhani. Na hata Wazanzibar wanaojua hasa kula vyakula vyenye afya wanatumia zaidi mchele wa mbeya.
Pia huo mchele wa basmat aina nyingi ni bei ghali sio watu wengi wanaomudu izo bei sana sana wakikosa mbeya wanatumia mapembe.
mkuu naomba niweke sawa kidogoKuhusu mayai...funga safari nenda Zanzibar katafute mnunuzi kule mkubaliane terms na bei....cha msingi uwe serious usibip Leo unapeleka kesho hamna ..msimu wa mfungo wa ramadhani ndio unakaribia biashara ya mayai inakuwa kubwa na demand n price inapanda....kingine lazima ukubaliane na mnunuzi kuhusu kibali....elewa kuna vibali pande zote mbili za muungano huku bara unakata wizara ya kilimo...kwa kila trei ushuru wake ni 1000....
Mkuu siongei kwa kusoma maandishi.Basmati rice..
Sio kweli sana mkuu. Ule ni kwaajiri ya mapishi ya biriani. Ila unapotaka kupika pilau au wali wa kawaida then mchele mzuri ni huu wetu wa bara especially ile mbegu ya Mchele wa mbeya au shinyanga huwa inadatisha sana.
Hahaha Hakuna sehemu Zanzibar nyama ya mifupa inauzwa 15,000 kwa kilo.Peleka nyama kule kilo 1 tena mifupa mifupa niliacha 15k
Maana yake unamshauri afungue Bucha la nyama? maana nyama huwezi iuza kama bidhaa zingine hii inahtaji Sehemu yake nikimaanisha frem kabisa.Hlw mimi ni mzanzibar kabisa may b i can tell you kwa mayai siyo sana ila biashara ya nyama kma unaweza kupeleka ng’ombe inshort nyama bei kubwa kilo tunanunua 9,500 mpka 10000
Biashara nyengine ni nafaka tukisemea mchele mchele unauza sawq lakini waznz tulio wengi tunakula michele ya asia jasmin basmat mapembe na myengine bt you can try pia
Ila mboga mboga imean tungule,viazi utauza pia sana sabab vipo bei za juu
Kizimkazi, paje nyama kilo 15k.Hahaha Hakuna sehemu Zanzibar nyama ya mifupa inauzwa 15,000 kwa kilo.
Acheni kudanganyana vijana.
Nyama ya mifupa mitaani kwa Bei ya leo ni 8,500 kwa kilo na Nyama ya stake ni 9,500 kwa kilo.
Hiyo Bei ya 15,000 naomba uniambie ni Zanzibar ipi
maana yake unamshauri afungue Bucha la nyama? maana nyama huwezi iuza kama bidhaa zingine hii inahtaji Sehemu yake nikimaanisha frem kabisa.