Wewe ushawahi kumuona mhasibu bongenyanya duniani? ukimuona basi ujue alikuwa kipotabo madawa ya mchina yakamzuru. Think! shem think!
Yupo rumande ana kesi ya kuiba mapapai sokoni kariakooAaaah, Ok. Yuko wapi siku hizi? nae kapotea kiaina
Watoto wa kike mpaka saa hizi mnatembea mitaani, nyie! Mkikutana na ....je? Haya upesi mkalae kabla sijashika kiboko. Watoto wadogo mambo ya kikubwa. Nasema upesi mkalale!
Yupo rumande ana kesi ya kuiba mapapai sokoni kariakoo
Andika kwa kiingereza , no comment , kuna bosi wangu apa kazini anafatilia huu mjadala kwa makini sana lakini haelewi kiswahili.mmmmh! Hapo chichemi kitu.
Usnune bana leo besdei yakosipendi kuona my 1 & only anadharauliwa. Nitanuna sasahv nisign out.
Andika kwa kiingereza , no comment , kuna bosi wangu apa kazini anafatilia huu mjadala kwa makini sana lakini haelewi kiswahili.
Usnune bana leo besdei yako
andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.
Apo ndo mtaji umekuwa mkuu, alikuwa anauza supu ya paka halaf anawaambia wateja wake ndama wa ng'ombe. Lizzy katoka mbali mkuu
hata mimi kiswahili kinanipa tabu. Naelewa kwa mbali.
huwa sredi ikiwa na lawyer na deskmate wake na husniyo inarun sana sijui kwa nini
Nigeria si tulikwenda juzi ? Hukumbuki hata Lowasa alituomba lift tumuache kwa Mchungaji Emmanuel ashughulikiwe kuukwaa urahisi kiulaiyni .
Nigeria si tulikwenda juzi ? Hukumbuki hata Lowasa alituomba lift tumuache kwa Mchungaji Emmanuel ashughulikiwe kuukwaa urahisi kiulaiyni .
huwa sredi ikiwa na lawyer na deskmate wake na husniyo inarun sana sijui kwa nini
mi ndo sielewi kabisa yani
Iko veve tokea bombay?hata mimi kiswahili kinanipa tabu. Naelewa kwa mbali.
Cloz ur eyesnaomba zawadi ya besdei.