People of the Lord, mwenzenu nilikesha jana
Naona leo nimeshindwa kuvumilia, naangusha majeshi soon
Nawatakia wote usiku mwema, tutaongea kesho.
Excellent nimefurahi sana kukuona, naomba uwaangalie
Deskmate na Cousin wangu. I can smell something fishy-fishy...
kwahiyo unaona sredi iko slow?napinga hoja.
Mkuu hauna uzalendo wa JF? tumpeni tafu banadah! Siend tena kula mgahawani kwake.
kutakuwa na kitu wanadiscuss bhana,nina wivuc tayari ushajua kuwa yupo Lawyer na deskmate wake pa1 na husninyo. Unataka kujua nini tena mkuu?
Dah! deskmate bana lol sweet dreams . Niote nimevaa suti kama la koffi olomidePeople of the Lord, mwenzenu nilikesha jana
Naona leo nimeshindwa kuvumilia, naangusha majeshi soon
Nawatakia wote usiku mwema, tutaongea kesho.
Excellent nimefurahi sana kukuona, naomba uwaangalie
Deskmate na Cousin wangu. I can smell something fishy-fishy...
Ni kwasababu Tuna uzalendo na JF. Nyinyi wengine magumashi. Hamchangii kwa bidiihuwa sredi ikiwa na lawyer na deskmate wake na husniyo inarun sana sijui kwa nini
Iko veve tokea bombay?
unaelewa kichina? Mwenzio tangu mdogo najua kuongea na kuandika kichina tu. Lugha zingine nabahatisha.
kutakuwa na kitu wanadiscuss bhana,nina wivu
Cloz ur eyes
mimi tokea jimbo la amita bachan kuch kuch hotahe ila kulia, lelea, ishi china katika jimbo la huha!
kwahiyo unaona sredi iko slow?
People of the Lord, mwenzenu nilikesha jana
Naona leo nimeshindwa kuvumilia, naangusha majeshi soon
Nawatakia wote usiku mwema, tutaongea kesho.
Excellent nimefurahi sana kukuona, naomba uwaangalie
Deskmate na Cousin wangu. I can smell something fishy-fishy...
nehi nehi nehi. Tum mera jiho
mimi tokea jimbo la amita bachan kuch kuch hotahe ila kulia, lelea, ishi china katika jimbo la huha!
Dah! hehehehe Lol hapa ndio nakuwa namkumbuka Dr Riwa na umuhimu wake kwenye jamiii cann't read! Nifungue macho?
klorokwin anachakachua wakati mi namwaga mapwenti.
Dah! hehehehe Lol hapa ndio nakuwa namkumbuka Dr Riwa na umuhimu wake kwenye jamii
Tulog out basi au leo hatuendi disco vumbi?
Mnammiss wapi bana wakati alitangaza nia halaf hajapata PM ata moja akaamua kutimua zake.nammiss sana dokta wangu yule.