nyegezimwanza
New Member
- Nov 14, 2018
- 4
- 19
Baada ya Amber Lulu kuacha mambo ya kitoto alimpa majukumu hayo mwenzake Amber Rutty, Amber Rutty alikomaa sana kuhakikisha jina Amber linakita mizizi yake kwenye skendo na kiki mbalimbali. Wakati akisubiri hukumu yake, huku raia wakiwa wameanza kumiss vituko vyake, mtaani tayari anaibuka amber mwingine.
Huyu anaitwa amber Linda, kwa haraka haraka huyu naye zimefyatuka na muda si mrefu tutayaona yake na yeye
Mtazame hapa.
Huyu anaitwa amber Linda, kwa haraka haraka huyu naye zimefyatuka na muda si mrefu tutayaona yake na yeye
Mtazame hapa.