Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Mods msifute huu uzi kuna cha kujifunza hapa.
Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwa.kaza kuna siku watakushika wo.wo.wo..
Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amberlulu baada ya kumshukia staa wa bongo fleva aliyeasi muziki na kuwa staa wa Instagram kwa kupost picha akiwa anakula bata ughaibuni, ambapo wadadisi wa mambo wanasema safari hizo za ng'ambo zipo chini ya udhamini mkubwa wenye malipo magumu.
Akijibu swali la mtangazaji wa moja ya kipindi cha online tv ambopo aliulizwa kama ikitokea Jux na Ommy Dimpoz wamepeleka posa nyumbani kwao atamchagua nani.Amberlulu alijibu "Obvious nitamchagua Jux" huku akifafanua kuwa msanii dimpoz hana mvuto hajakaa kiume,hivyo hawezi kubattle na Jux hata kidogo.
Ushauri kwa vijana wa kiume: Usithubutu kuzoeana sana na wtoto wa kike bila hata kuchombeza hata kama atakunyima ila fresh ushamuonyesha kuwa una uwezo wa kumlala la sivyo uta hanithiwa
Toa maoni yako bila kutukana mtu tafadhali