Amber lulu asema alipata division two ya 34

Amber lulu asema alipata division two ya 34

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,284
Reaction score
1,221
Akihojiwa katika kipindi cha kikaangoni cha EATV msanii nyota Amberlulu amedai ktk mtihani wa kidato cha nne alipata division two ya 34!

Hiki ndo kizazi cha TZ ya viwanda!! Kinyaa!!

20190912_055955.jpeg
 
Akihojiwa katika kipindi cha kikaangoni cha EATV msanii nyota Amberlulu amedai ktk mtihani wa kidato cha nne alipata division two ya 34!

Hiki ndo kizazi cha TZ ya viwanda!! Kinyaa!!

View attachment 1204993

Labda katika shule yao waliopata division two walikuwa 34 au zaidi (serial number), hivyo amehesabu two ya mtu wa kwanza mpaka wa 34 na ndio iliyokuwa na jina lake.
 
Hahaha kama 4-4-2 ya Steve Nyerere, wanne mbele, wanne kati alafu wawili nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weka ka video basi mkuu,,, vinginevyo atakuwa amesingiziwa tu
 
Back
Top Bottom