Dogo aslay kumbe muhuni tu nae loohHahahaa na wewe uwe MLEZI WA WANA....
maana sepenga anayaweza na mimi najikoki niongeze orodha
Chama la wana![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Kila underground huwa na ndoto ya kumgonga wema sepetu, akishatoka anamtema,
Wema ni moja ya wanawake wasiojielewa, mama huruma ( futari ya town)
Yaani nimeshangaa
Hapa mjini nadhani na Mimi nijaribu kugegedwa na madogo wazee niwaachie nssf na pspf
Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Aslay akidai kuwa waliwahi kuishi pamoja kinyumba kama mke na mume.
Amber Lulu ambaye naye aliwahi kunasa mapenzini mwa Aslay na kudai kuwa ni fundi mzuri sana kunako mausuala ya sita kwa sita huku pia akitumia sifa hiyo kumtofautisha na Mbongo Fleva mwingini, Young D ambaye nae pia alikuwa mpenzi wake lakini hakuwa fundi sana kama ilivyo kwa Aslay.
View attachment 795100
Wee kumbe ilikuwa ivyo..Msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago kwenye video za wasanii, Amber Lulu, ametoboa siri ya Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Aslay akidai kuwa waliwahi kuishi pamoja kinyumba kama mke na mume.
Amber Lulu ambaye naye aliwahi kunasa mapenzini mwa Aslay na kudai kuwa ni fundi mzuri sana kunako mausuala ya sita kwa sita huku pia akitumia sifa hiyo kumtofautisha na Mbongo Fleva mwingini, Young D ambaye nae pia alikuwa mpenzi wake lakini hakuwa fundi sana kama ilivyo kwa Aslay.
View attachment 795100
Una maanisha ni sawa na kichwa cha mwendawazimu ambapo kila mtu hujifunza kunyoa nywele hapo?Kila underground huwa na ndoto ya kumgonga wema sepetu, akishatoka anamtema,
Wema ni moja ya wanawake wasiojielewa, mama huruma ( futari ya town)