Amber Lulu: Nampenda Mondi kwa sababu ni fighter, hustle, Pia amekata body

Amber Lulu: Nampenda Mondi kwa sababu ni fighter, hustle, Pia amekata body

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Screenshot_20200619-152112.png
 
Ambel lulu kidogo yupo vizuri! Amber ruty sijui kidogo huwa ana matatizo gani? Si huwa unamuona mwenyewe!

Simsemi vibaya ila mambo mengine huwa anafanya mpaka unashangaa?

Asa zile video zake.
 
Hawa wadada ni mwendo kasi wamefeli break.watakuja kishtuka jua lishazama na kilomita zishasoma za kutosha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeeh hii corona inafanya wadangaji waweweseke km wendawazimu, lol
 
Wanawaaibisha wazazi wao na ndugu zao,hata kama ni kiki ya wimbo mpya sio kihivyo!!
 
Ambel lulu kidogo yupo vizuri! Amber ruty sijui kidogo huwa ana matatizo gani? Si huwa unamuona mwenyewe!

Simsemi vibaya ila mambo mengine huwa anafanya mpaka unashangaa?

Asa zile video zake.
video unaangalia huku umevaa kipande cha jinsi bwana
 
hakuna mtu mwenye njaa akakwambia chakula haihtaji mond mashine nyingne hiyo
 
mwenywe diamond anakwambia mie kama maji bwna unataka hutaki utanitumia tu kwa siku nzima kabla haijaisha
 
Ambel lulu kidogo yupo vizuri! Amber ruty sijui kidogo huwa ana matatizo gani? Si huwa unamuona mwenyewe!

Simsemi vibaya ila mambo mengine huwa anafanya mpaka unashangaa?

Asa zile video zake.
Unanikumbusha amber ruty alimdai mume wake "ngozi ya nyeti yake"
 
Huyo demu kwenye picha ni mchina,duh mond noma anazimikiwa hadi na wachina!!
 
Unanikumbusha amber ruty alimdai mume wake "ngozi ya nyeti yake"
Ukisearch maeneo unakutana na video zake sijajua ni nini kinamsumbua ila sahivi afadhali katulia
 
Ukisearch maeneo unakutana na video zake sijajua ni nini kinamsumbua ila sahivi afadhali katulia
Nilimuonea huruma sana kile kipindi alichokamatwa na kusema polisi wanamdhalilisha.
 
Back
Top Bottom