Hoffman degradation
Member
- Jan 29, 2017
- 61
- 66
hivi TCRA wako wapi siku hizi huyu binti anatafuta umaarufu kwa nguvu amesahau kama kuvua nguo hakukuongezei umaarufu utaishia kuchezewa na vibenbten
Kama wanayapaka ili wang'ae bila nguo, mbona sasa kama unakinzana na bandiko lako lililotangulia kwa kuyataka.hivi hayo mafuta ya hivyo yanaitwaje nayahitaji
Hawa wamefanya maamuzi magumu sana,baada ya kugundua uwezo wa kutafuta hela kwa kutumia vichwa(Akili) hawana wameamua kutumia mwili wote(hasa sehemu za siri) kutafutia hela!Habari wanaJF,AMA kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonye hta papuchii nje nje.....Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa mmi sijui.
View attachment 577327
Sent using Jamii Forums mobile app
uwe unaelewa mi nayataka kwa matumizi yangu unataka kuniambia kama ni baby care tusitumie sababu yamepakwa na mtembea uchi nina wasawasi na majirani zakoKama wanayapaka ili wang'ae bila nguo, mbona sasa kama unakinzana na bandiko lako lililotangulia kwa kuyataka.