Amber Rose ameamua kumuacha rasmi wiz khalifa kwa talaka

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Amber rose files for divorce from wiz khalifa.Pia anahitaji matunzo kwa mtoto wao mmoja Sebastian.

Ndoa yao imedumu kwa mwaka mmoja tu.Na kuna tetesi Kuwa anataka kuamia rasmi kwenye penzi la Nick Cannon.

 
Aaah waachane tu,kwani kitu gani,mbona Wema kaachana na ndomo!!
 
Yaan mapenz ya huko nayo loo hamna kuvumilianaa,watapendezana Amber na Nick wiz nae kakomaa mnoo aachwe tu
 
Hola holah...we dem boiz...we make noiz...basi sauwer amuache kabangi atampata kabangii mwenzie
 
hili ni fundisho kwa madada wa kibongo wanataka kuishi mapenz kama ya ulaya lakini hawataki divorce, maisha ya kiulaya lazima yaishie kwa divorce na wenyewe wameyakubali ndio maana divorce kwao si issue ya kujaziana ndugu na wazazi mnaamka asbui mnasema irreconcilable differences kila mtu anachukua hamsini zake!!!

madada wa kwetu hapa mkitaka ndoa issishe kwa divorce kuwen na adabu za kiafrika achen kuiga maisha ya ulaya, ndoa karibia zote sasa ivi ulaya divorce rate is above 70%
 
Aende zake huko kwa kicheche mwenzie Nick,atamkumbuka wiz khalifa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…