Amber rose na kim kardasian yupi anaonekana mkali kunako?

Amber rose na kim kardasian yupi anaonekana mkali kunako?

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
670
wakuu kuna hawa mastaa ambao hawana vipaji vyovyote vya maana but kwa ujumla ni warembo kweli namzungumzia Kim kardasian na Amber rose so nani anaonekana mkali kwenye makuchi kuchi hotaye? usikute ni mambumbu coz iweje wawe wanaachika daily?
 
hakuna mkali hapo mkuu wote vicheche hao.Wanaachika coz wameshakuwa used.ile mbaya.
 
Back
Top Bottom