Amber rutty asipokuwa makini ataenda kufungwa kiutani utani

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Siku ambayo atakuja kuhukumiwa huyu dada watu mnaweza msiamini lakini ukweli ndio huo

Binti baada ya kutafutiwa dhamana akatoka, ilitakiwa kwa sasa atulie aweke mikakati ya kupambana na hii kesi maana mwanzo alibugi akakubali kuwa video ni yake na hajui ilivujaje

so hapo kukiri tu tayari kulimweka kwenye majanga maana kosa pale ni kuzibuana mtaro ndio kesi hatari inayoweza kumfunga kiutani utani maana alikiri kwenye ile video ni yeye

sasa binti huu mda alio nnje kwa dhamana alitakiwa autumie kuwekeza kwenye ibada na kujipanga ili kuruka ile kesi kama gwaji boy vile lakini, amber ndio kwanza kacharuka anajiita madam wowowo

Binti anahitaji watu wa kumshauri
 
Sheria ifuate mkondo wake
 
Naomba kukuuliza kama umesoma psychology?
 
Sasa kama alikili makosa kwa nini yuko ,mtu aki plea guilty uwa maamuzi yanasomwa hapo hapo,..!!
 
Sasa kama alikili makosa kwa nini yuko ,mtu aki plea guilty uwa maamuzi yanasomwa hapo hapo,..!!
alihojiwa na polisi na akakubali yeye na mpenzi wake, hawakuikana kuwa sio yao
 
Huwa nashidwa kuelewa Mbona aliyekuwa anamzibua hajakamatwa naye au tu kutafutwa au ana Jinsia Mbili alikuwa anajifanya Mwenyewe?
 
Yule Mariam wa pilau na biriani alikiri kwamba alifanyiwa na mlinzi wa mfuturishaji mbona hajaguswa.
Askofu aka nabii ambae juzi alirusha yake huku akizunguusha kiuno kama feni mbovu mbona nae hajaguswa?
Au kwasababu Amber rutty hana mvuto na hana hela?
 
Mchungaji Mashimo yuko wapi amuongoze mzibuliwa mtaro.
 
Hivi hawa watu kabla ya kesi wanawapima akili kweli, maana nahisi kama kuna kesi nyingine tunapoteza muda na rasirimali tu wakati wenye kesi walitakiwa wawe milembe..

Yule binti na yule kijana kichwani kuna short circuit siku nyingi na spea zake hazipo duniani, aliyetengeneza mother body pekee ndiye mwenye uwezo wa kureplace.. This is mental case and should be registered Milembe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…